Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

SIKU 1 YA 31

Imani ni zaidi ya kutarajia mambo yasiyotarajiwa au kutumainiwa kuwa yatatokea kwa uhalisia. Imani ya mashujaa waliotajwa katika Ebr 11 huonyesha ni kumtumainia Mungu katika neno lake. K.mf. Nuhu aliunda safina kwa sababu alimwamini Mungu na kutegemea gharika litatokea kama alivyoonywa. Pasipo kuamini hivyo haiwezekani kumfahamu Mungu wala kutenda mapenzi yake. Si kwa kufanya kitu, bali kwa imani tunashuhudiwa kuwa wenye haki, ila tunaposhika neno la Mungu tunaonyesha imani yetu iko hai.Kwa imani Habili alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko Kaini; kwa hiyo alishuhudiwa kuwa ana haki(m.4).

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz