Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

SIKU 8 YA 31

Kila mzazi anayempenda mtoto humrudi kwa kumwongoza na kumlea ili akae katika njia nzuri na maadili mema. Wakati wazazi walipoturudi kwa kutuadibisha, wengi wetu tulidhani ni vitendo vibaya, kumbe vilikuwa vitendo vyenye malengo chanya katika maisha yetu. Kadhali Mungu naye kama baba yetu wa kiroho anatuonya, kutukemea na kuturudi kwa Neno lake ili tuache dhambi na kuishi maisha matakatifu. Sababu yake ya kufanya hivyo ni upendo tu.Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi, naye humpiga kila mwana amkubaliye(m.6). Basi,usizimie moyo ukikemewa naye(m.5)!

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz