Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

SIKU 5 YA 31

Katika somo hili yameorodheshwa matukio makuu manne yaliyoashiria kutenda kwa imani: 1) tukio la pasaka, 2) kupita katika bahari ya shamu, 3) kuanguka kwa kuta za Yeriko, na 4) kuokolewa kwa Rahabu. Walengwa walimwamini, kumtegemea na kumtumaini Mungu katika yale aliyowaambia kufanya au waliyosikia yeye amefanya, wakatenda sawasawa na neno lake, wakashuhudia uaminifu wa Mungu. Ukielekeza imani yako kwa yale aliyosema Mungu, wewe pia utashuhudia matukio makuu katika maisha yako.

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz