Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Siku 21 za KufungaMfano

21 Day Fast

SIKU 3 YA 21

Mboga na maji tu. Na sio tu kwa wiki tatu, lakini kwa uwezekano wa muda wa mafunzo yao katika Babeli! Jibu hili kutoka kwa vijana hawa wanne halikutokana na uoga wa kupatikana Lilitokana na ibada kwa amri za Mungu ambayo ilikuwa tayari ndani yao kabla ya kuchukuliwa kutoka kwa nchi yao. Wakati wa ufungo huu, utakuwa na fursa nyingi za kugeuza dhamira yako--hasa kama unafunga peke yako au kama hakuna mtu atajua. Muombe Mungu akupe uamuzi na ujasiri wa kukumbatia viwango ambavyo umeweka na kumuheshimu bila kujali.

Andiko

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

21 Day Fast

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.

More

We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.