Siku 21 za KufungaMfano
Haijalishi kina ulichopo sasa hivi, ingia kwenye kina zaidi. Usijali kuhusu kitakacho lowana. Usiache kwenye alama unayoweza kuweka miguu chini yako. Jipeleke. Unashikilia nini? Una sita nini kuishi maisha ya kiroho zaidi na imani? Una picha gani ya uongo ya kudhibiti unayoing'ang'ania? Nenda ndani na vyote. Omba leo kuwa mfungo huu uwe mwanzo wa mahusiano zaidi na Mungu. Omba kuwa aendelee kukuvutia kuingia zaidi ndani na muache achukue mamlaka yote ya maisha yako.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
More
We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.