Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombi

Maombi

21 Siku

Kujifunza namns ya kuomba vizuri, kutoka kwa maombi ya mwaminifi pia na maneno ya Yesu Mwenyewe. Kupata faraja ya kuendelea kuomba Mungu kila siku, pamoja na kudumu na uvumilivu. Chunguza mifano tupu, maombi ya uhaki wa mwenyewe, ikipimwa na maombi ya kweli ya walio na moyo safi. Omba bila kuacha.

Mpango huu uliundwa na YouVersion. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tuvuti www.youversion.com
Kuhusu Mchapishaji