Siku 21 za Kufunga
21 Siku
Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
Tungependa kuwashukuru LifeChurch.tv kwa ukarimu wao wa kutoa muundo wa mpango wa siku 21 za Kufunga. Kujifunza mengi kuhusu LifeChurch.tv, tembelea tovuti www.lifechurch.tv
Kuhusu Mchapishaji