Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Siku 21 za KufungaMfano

21 Day Fast

SIKU 1 YA 21

Kifungu hiki ni chanzo cha wazo la siku 21 za kufunga. Unapoweka hizi wiki tatu kumtafuta Mungu, jua kwamba tayari Mungu ashasikia maombi yako. Yuko tayari kazini kwa niaba yako. Ni jambo lipi maalum unalotafuta maono kutoka kwake Mungu wakati huu? Andika ombi lako kwa karatasi ili utafakari juu yake mwisho wa siku 21. Tumia wakati wako ukimuomba Mungu azungumze nawe na akupe nguvu.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

21 Day Fast

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.

More

We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.