Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Siku 21 za KufungaMfano

21 Day Fast

SIKU 6 YA 21

Huu ni ujumbe kutoka kwa Mungu kwa watu wake ambao wana fadhaishwa na ukosefu wa majibu yake kwa mfungo wao. Ni rahisi kuchanganya kufunga na mgomo wa kula kumfanya Mungu akupe utakacho. Lakini sura hii inasema anachohitaji. Omba Mungu atumie uzoefu wa njaa na usumbufu kubadilisha jinsi unavyo ona walio duniani ambao wamepotea na wana mahitaji. Omba Mungu akufanye uwe mtupu kwa vile ulivyo na akujaze na yote yake.

Andiko

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

21 Day Fast

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.

More

We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.