Siku 21 za KufungaMfano
Unaingia wiki ya pili ya mfungo wako! Hii Zaburi inaongea kuhusu kuingia kwenye uwepo wa Mungu kwa shukurani, furaha, shangwe, na sifa moyoni mwako. Kama umeangalia sana katika magumu ya kimwili unayokabiliana nayo au mizigo unayoleta kwa Mungu kwa maombi, basi tumia siku ya leo kuwa na furaha katika Bwana. Andika baadhi ya vitu vinavyokupa furaha leo. Imba nyimbo za sifa kwake. Omba kwamba Mungu achochee shauku ya kuendelea na kuona Mungu alichonacho kwa ajili zaidi ya nyua zake.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
More
We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.