Siku 21 za KufungaMfano

Kuvunjika na kumwagwa. Unaona hayo maneno yote ni stori ya mwanamke na chakula cha mwisho. Kwa mkate na divai sio machaguo yako ili kumkumbuka Yesu hizi siku 21, fanya ambacho huyo mwanamke alifanya. Fanya Yesu alichofanya. Ishi maisha ya kuvunjika na kumwagika kwa kukumbuka alicho kufanyia. Ni vipi maisha yako yanaweza kuwa kumbukumbu hai ya Yesu? Ongea na Mungu kuhusu vitu maishani mwako ambavyo vinahitaji kuvunjika na kumwagika kama kile chombo cha marashi.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
More
We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.