Siku 21 za KufungaMfano
Kwani kufunga si inatakiwa kuwa siri? Unaweza kuwa umeanza hii safari pamoja na kikundi ambacho kinafunga pamoja nawe. Mifungo mingi kwenye Biblia imeitwa na wenye mamlaka kwa kikundi kizima kushiriki. Tafakari moyoni mwako Yesu anasema nini kwenye hiki kifungu. Ni nia gani nyuma ya mazungumzo uliyonayo kuhusu kufunga? Ni kuwapata watu moyo au kupata msaada? Kuna siri unataka kuonekana mtakatifu au wa kiroho? Ni wawili tu wanajua majibu kwa haya maswali -- wewe na Mungu. Omba Leo Mungu ujue nia yako ya kufunga na muulize njia uyonaweza kutafuta kutiwa moyo bila kuzidisha moyo wako na kiburi.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
More
We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.