Siku 21 za KufungaMfano
Wakati wa ufungo huu, jenga madhabahu kisha weka sadaka inayomheshimu Mungu juu yake. Itakugharimu hali yako, faraja yako, na pia itachukua nguvu zako na dhamira. Sadaka yako itakuwa nini wakati huu wa ufungo? Hakikisha ni sadaka ambayo itakugharimu kitu. Andika dhamira yako na mshirikishe rafiki wako ambaye atakufanya uwajibikie dhamira yako. Omba ili Mungu akuonyeshe ni nini anachotaka kama sadaka kutoka kwako.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi, maswali ya kutafakari, na maombi.
More
We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.