Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

SIKU 9 YA 30

Wakuu wa dini walimpeleka Yesu kwa mtawala wa Mataifa wakitaka tamko la hukumu ya kiserikali. Liwali hakuona hatia kwa Yesu, na alitangaza wazi kutojihusisha na kifo cha Yesu. Lakini viongozi wa Kiyahudi waliamua ni lazima Yesu afe. Ndiyo, ni huzuni kwamba Yesualikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea(Yn 1:11). Yesu asema,Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi naMafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni(Mt 5:20). Wakristo, twaitwa tuwe watu wa haki katika mienendo yetu yote.

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz

Mipangilio yanayo husiana