Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023

SIKU 12 YA 29

Sina wasaa tena pande hizi(m.23),maana yake ni: nimemaliza kazi yangu pande hizi. Kwa hiyo Paulo alipanga kwenda sehemu ambapo Injili ilikuwa bado haijahubiriwa. Na njiani kwenda huko anapenda sana kuwaona ndugu wa Rumi (1:14-15). Tukitumia mwongozo wa m.25-27 kwa hali ya makanisa siku hizi tungesema hivi: Kwa vile makanisa ya Ulaya wanatuhudumia sisi (kanisa la ulimwengu wa tatu) kwa mambo ya mwili (pesa na elimu) inatubidi sisi tuwahudumie wao kwa baraka zetu za kiroho! Maanaimaniimepoa sana Ulaya!

siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Novemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Novemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka na Warumi. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/