Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 7 YA 35

Wakolosai 3 inatuhimiza kuweka akili zetu juu ya mambo ya Mungu na sio juu ya mambo ya kidunia, ambayo husababisha mawazo yetu ya sumu. Mojawapo ya njia bora zaidi za kuanza kuzingatia mawazo yako juu ya Mungu ni kutumia muda zaidi pamoja Naye kila siku katika maombi na katika ku soma Neno Lake.Je, ni baadhi ya mawazo gani ya sumu ambayo unahitaji kubadilisha? Ni kwa njia gani unaweza kuanza kufanya mabadiliko hayo?
siku 6siku 8

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv