Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Ikiwa unaumia moyo wakati wote, utawaumiza moyo wengine, lakini ikiwa utafanya kile kinachohitajika ili udhibiti uhusiano kibiblia, basi unaweza kuwa na nguvu ya kushiriki upendo wa Mungu kwa watu wanaohitaji kumjua . Jitahidi kusimamia mahusiano ya sumu katika maisha yako, na muhimu zaidi, jitahidi kuhakikisha kuwa wewe sio sumu katika uhusiano wako. ⏎ ⏎Je, ni mambo gani unayoweza kufanya ili kujenga mahusiano mazuri katika maisha yako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv