Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 29 YA 35

Watu katika maisha yako wanaweza kuwa moja ya raslimali muhimu zaidi za kiroho au kuwa moja ya laana zako mbaya zaidi. Mahusiano hayo ambayo ni laana kwako ni sumu. Wiki hii unajifunza kutoka kwa Neno la Mungu kuhusu hatari za mahusiano ya sumu na umuhimu wa kujizunguka na watu walio haki.Marafiki wabaya huaribu tabia nzuri. " Eleza wakati ulipopitia onyo hili katika maisha yako. Ulijifunza nini kutokana na tukio hilo?
siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv