Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Mathayo 16 inatuonyesha njia moja ya kusimamisha mahusiano ya sumu ni kuweka mipaka mizuri kama Yesu alivyofanya na Petro. Huenda unahitaji kumwambia mtu huyo kwamba hutamruhusu kukuzungumzia ama kukutenda kwa njia mbaya, au unaweza tu kuwaambia kuwa hutaenda nao kwenye maeneo mabaya katika uhusiano wako nao. ⏎ ⏎Ni mipaka gani unayohitaji kuanzisha katika mahusiano yako? Utafanya nini ili kuweka mipaka hiyo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv