Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Mawazo yetu ni muhimu sana. Fikira kweli ina umuhimu kwa sababu unachofikiri huamua nini unachokuwa. Kwa bahati mbaya, wengi wetu huelekea kuwa mateka kwa mawazo ya sumu, badala ya kuyalenga mawazo yetu juu ya ukweli wa Mungu. Wiki hii utasoma kutoka kwa Neno la Mungu juu ya hatari za mawazo ya sumu na jinsi unavyoweza kuteka nafasi yao kwa ukweli wa Mungu. ⏎ ⏎Je! mawazo yako ya sumu yanaathiriaje maisha yako na uhusiano wako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv