Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Maneno yetu yana nguvu. Yana uwezo wa kuua na uwezo wa kutoa uzima. Katika kitabu cha Mithali, Sulemani kwa mara nyingi anaandika juu ya hatari na uwezo wa maisha ya maneno yetu. Alifahamu sana uwezo wa maneno. Kwa matokeo, Sulemani anatuhimiza kuwa na ufahamu wa aina ya maneno tunayosema kwa wengine na matokeo mazuri au mabaya yanayoweza kuwa nayo. ⏎ ⏎Je! ni aina gani ya maneno unayoegemea kuzungumza zaidi - maneno ya sumu au maneno ya kutoa maisha? Eleza.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv