Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 10 YA 35

Hata unapojitahidi kuacha maneno yenye sumu kwa wengine, utahitajika kukabiliana na maneno yenye sumu ambayo umeambiwa. Kwa sababu ya matokeo haya, ni lazima ufanye kile ambacho Neno la Mungu linatuambia kufanya wakati wengine wanasema maneno yenye sumu kwetu: lazima uulinde moyo wako dhidi yao.Je, utaulindaje moyo wako dhidi ya maneno yenye sumu?
siku 9siku 11

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv