Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
![Soul Detox](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F257%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Neno la Mungu linatupatia maagizo muhimu sana ambayo ni lazima tuweke ndani ya moyo na tutii. Maelekezo hapa ni kusema maneno ya kutoa maisha kwa wengine kila nafasi tunayopata. ⏎ ⏎Ni nani unayehitaji kuanza kumzungumzia maneno ya kutoa maisha? Je! utaweza kufanya hivyo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![Soul Detox](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F257%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv