Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 17 YA 35

Hofu ni kuwa na imani, lakini ni kuweka imani yako katika vitu visivyo sawa. Hofu ni kuweka imani yako katika "itakuaje". Hofu zetu nyingi zimezingatia mambo ambayo yanaweza au hayawezi kutokea. Hakuna sababu ya kuogopa mambo ambayo huenda hata hayatatokea. Hata watu katika Biblia walijitahidi kuogopa hofu ya "itakuwaje" zao. Utasoma leo juu ya Musa na hofu yake ya "itakuwaje" na jinsi Mungu alivyompa nguvu ya kushinda hofu hii.Je, ni baadhi ya "itakuaje" gani zinazochochea hofu zako?
siku 16siku 18

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv