Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 22 YA 35

Maisha yetu yamejaa sumu ya kiutamaduni, mambo ambayo yanakubalika kiutamaduni, lakini huumiza nafsi zetu. Sumu za kitamaduni zinaweza kupatikana katika vitabu tunavyosoma, magazeti tunayosoma, muziki tunaousikiliza, maonyesho ya televisheni tunayo ona, na katika sinema tunazotazama. Tunaporuhusu sumu za kitamaduni katika maisha yetu, zinatupoteza. This week you will learn what God's Word says about the dangers of cultural toxins and the importance of focusing on things that draw us closer to God.⏎⏎Je, ni baadhi ya sumu za kiutamaduni gani ambazo unazo katika maisha yako? Je! umeonaje sumu hizi zikiharibu maisha yako?
siku 21siku 23

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv