Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 24 YA 35

Inapokuja katika sumu za kitamaduni, sumu kidogo kidogo inaweza kuwa na madhara makuu. As a result, it's important that we strive to cleanse those toxins from our system before they do long-lasting damage to our lives.⏎⏎Taja sumu ya kitamaduni ambayo ilianza katika maisha yako kama kitu kidogo, lakini ikakua kitu kikubwa. Je, sumu hiyo imekunajisi vipi?
siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv