Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 23 YA 35

Uongo wa wengi wetu tunaamini ni kwa sababu kila mtu hufanya hivyo, ni sawa kwetu kufanya na haitatudhuru. Ukweli ni kwa sababu kila mtu mwingine anafanya hivyo, haimaanishi kwamba ni sawa kwetu kiroho. ⏎ ⏎Umeonaje ushawishi mbaya katika maisha yako ukiathiri uhusiano wako na Mungu na wengine?
siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv