Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Ni rahisi sana kuambukizwa na sumu za kitamaduni kwa sababu ni rahisi kuiwekama sawa katika vichwa vyetu. Wengi wetu labda tumekuwa na mawazo yafuatayo: kinachoweza kuwa hatari kwako huenda kisiwe hatari kwangu. Neno la mungu linasema jambo tofauti Paulo anatuambia katika 1 Wakorintho 6 kwamba kwa sababu tu unaweza, haimaanishi unapaswa. ⏎ ⏎Ni viwango gani unayotumia kuchuja sumu ya kitamaduni katika maisha yako? Je, unafikiri jinsi gani viwango vyako vinalingana na vya Mungu?
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv