Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 30 YA 35

Watu wa haki watajenga na kukuongoza kumuelekea Kristo, lakini kama utawakaribia watu wabaya wanaweza kuwa na sumu kimaisha. Wanaweza kuiumiza nafsi yako. Wanaweza kuyaumiza mahusiano yako. Wanaweza kukuelekeza katika majaribu. Wanaweza kukuvuta nao chini. Wanaweza kwa urahisis kukutoa ndano na wema wa Mungu.Je, ni kwa njia gani uhusiano wa sumu umenajisi maisha yako na uhusiano wako na Mungu?
siku 29siku 31

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv