Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Kuna aina tatu za za mahusiano ya sumu: hasi, kudhibiti, na wajaribu. Kuna uwezekano umepitia mahusiano haya yote ya sumu katika maisha yako. Kuna uwezekano umekuwa wa sumu kwa mtu mwingine katika moja ya njia hizi tatu. Fanya kama Neno la Mungu linavyosema na usijiruhusu ukadanganywa na uongozwe na mahusiano ya sumu. Ya muhimu zaidi, usiwe wa sumu kwa wengine kwa sababu utawaongoza kando na Mungu.Ni aina gani za mahusiano ya sumu unayo zaidi katika maisha yako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv