Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Ingawa inaweza kuwa si rahisi, uhusiano wako wa sumu unaweza kua hatari hadi ibidi uumalize. Leo utasoma zaidi kutoka kwa Neno la Mungu kuhusu kwa nini wakati mwingine ni lazima kukomesha uhusiano wa sumu, na mifano ya mahusiano ya sumu ambayo yaliisha. ⏎ ⏎Kwa nini unadhani sisi huwa na mahusiano zaidi ya sumu katika maisha yetu badala ya mahusiano mema?
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv