Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Tunapotafsiri kila kitu kulingana na neno la Mungu na usafi wa neno lake, tutatambua kuna mambo mengi ambayo watu wanafanya ambayo hayatuleti karibu na Mungu Hii ndio lazima tujaribu kila kitu kulingana na neno la Mungu kwa sabuabu Biblia ina ukweli kamili Neno la Mungu linafaa kuwa kielekezo kwetuKwa nini unafikiri ni vigumu sana kutoa sumu za kitamaduni katika jamii zetu.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv