Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Inapokuja kuhusu sumu za kitamaduni, la muhimu ni kwamba lazima tuikimbie dhambi na mambo ambayo yanaweza kutufanya tufanye dhambi. Mbadala, tunafaa kujikaza kuishi maisha ya usafi Tujikaze kwa mambo yenye umuhimu kwa Mungu na si kwa mambo yenye umuhimu kwa wengine.Je, ni mambo gani unahitaji kuanza kuzingatia ambayo yatakulete karibu na Kristo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv