Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Chagua kwa imani kutoiweka imani yako katika hofu ya "itakuaje", lakini kuiweka imani yako kwa Mungu na Mungu pekee. Hii itakusaidia kuvunja huru kutoka utumwa wa hofu za sumu. ⏎ ⏎Je, unamtafuta Mungu mara kwa mara kwa njia gani?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv