Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 16 YA 35

Kuna aina nne za hofu: hofu ya kupoteza, hofu ya kushindwa, hofu ya kukataliwa, na hofu ya yasiojulikani. Inawezekana kwamba unakabiliwa na moja au zaidi ya hofu hizi. Hofu hizi zinaweza kukupooza na kukuzuia kuwa bora kwa Mungu. Kumbuka kile 2 Timotheo 1 inasema kuwa Mungu hakutupa roho ya hofu, bali roho ya nguvu, ya upendo, na ya kujidhibiti.Je, ni hofu gani ambazo upambana nazo zaidi?
siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv