Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Kwa mara nyingi tunapooza kwa hofu ya kwamba kitu fulani kinaweza kutokea. Badala ya kuishi kwa imani, tunaishi kwa hofu. Hofu hizi za sumu zinaweza kuzuia maisha yetu na kutuibia furaha yetu. Wiki hii utasoma kile Neno la Mungu linasema kuhusu hofu za sumu na jinsi tunapaswa kukabiliana nayo. ⏎ ⏎Je, umeonaje hofu zako za sumu zikiathiri vitendo na mawazo yako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv