Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 11 YA 35

Usichukulie kwa undani maneno yenye sumu ambayo wengine wanasema kukuhusu. Badala yake, linda moyo wako dhidi ya maneno yenye sumu, na kila nafasi unayopata, sema maneno ya kutoa uhai. ⏎ ⏎Kwa nini unadhani tunaegea kuzungumza maneno yenye sumu zaidi kuliko maneno ya kutoa maisha hata wakati hatutaki?
siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv