Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kuondoa Sumu katika NafsiMfano

Soul Detox

SIKU 8 YA 35

Maneno yanaweza kukuumiza na maneno yalio sahihi yanaweza kukuponya. Maneno hayo ambayo yanaponda na kuumiza hujulikana kama maneno ya sumu. Maneno ya sumu ni hatari sana sio tu wakati unapoambiwa, lakini pia unapowaambia wengine. Wiki hii utasoma kutoka kwa Neno la Mungu kuhusu hatari ya maneno ya sumu na nguvu ya maneno ya kutoa maisha. ⏎ ⏎Je! maneno ya sumu yanaambukiza maisha yako kwa njia gani hivi sasa?
siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soul Detox

Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.

More

Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv