Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Ili kupigana na mawazo yako ya sumu, lazima uyatambue na uyakatae. Kama 2 Wakorintho 10 inavyotuambia, vita dhidi ya mawazo yetu ya sumu hakuna vingine. Si vita vya kimwili, bali ni vita vya kiroho ambavyo vinahitaji msaada kutoka kwa Mungu kupigana. ⏎ ⏎Je, ni nini baadhi ya sababu za mawazo ya sumu katika maisha yako?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv