Kuondoa Sumu katika NafsiMfano
Waebrania 3 inatuhimiza kuyalenga mawazo yetu juu ya Yesu; hata hivyo, inaweza kuwa vigumu kwa sababu ya vitu vingi vyenye sumu zinavyojaribu kuteka mawazo yetu mbali na Yeye. Mawazo yetu yanaathiriwa kwa urahisi na mambo yenye sumu kama ushawishi, mahusiano, na maneno. Jaribu kuzuia na kuondoa vitu vyote vyenye sumu vinavyochafua maisha yako na badala yake kuyaweka mawazo yako juu ya Yesu. Kuweka mawazo yako juu yake ni muhimu katika kuchuja nje mambo ya sumu yote katika maisha yako. ⏎ ⏎Je, kuna tofauti gani katika maisha yako unapoangazia mawazo yako juu ya yale yalio kweli na mema badala ya vitu vyenye sumu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Sisi sio mwili ukiwa na nafsi. Sisi ni nafsi ikiwa na mwili. Wakati ulimwengu kwa hakika hutufundisha kutoa sumu katika miili yetu, wakati mwingine tunahitajika kutoa sumu katika nafsi zetu. Huu mpango wa siku 35 utakusaidia kutambua ni nini kinachobambua nafsi yako na ni nini kinachokuzuia kuwa mtu uliyeumbwa kuwa na Mungu. Utajifunza kutoka kwa neno la Mungu jinsi ya kuzima shawishi hizi zinazoleta madhara na kukumbatia maisha safi ya nafsi yako.
More
Kungependa kumshukuru mchungaji Craig Groeschel na LifeChurch.tv kwa kuweshesha mpango huu Kwa maelezo zaidi tafadhali temembelea: www.lifechurch.tv