Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 15 YA 31

Ezekieli anaagizwa kukemea manabii wa kike wanaotabiri uongo pamoja na kushona leso na “hirizi”. Maana ya neno la asili ni “utepe”, lakini ni wazi kuwa hapa vitambaa hivi hutumika kwa ajili ya uchawi. Kwa nini watu wanadanganywa na kuwindwa kama ndege na hirizi hizi? Ndio wasikilizao uongo ule ambao manabii hao wa uongo huwaambia (m.19)! Mungu anaahidi kuwaokoa watu wake wenye haki. Kwa njia gani? Yesu anajibu akisema: Mkikaa katika neno langu ... kweli itawaweka huru(Yn 8:31-32)!

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana