Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 1 YA 31

Tusikubali dhambi ijulikanayo kuwepo katika kanisa letu bila kuchukua hatua ya kumsaidia mwenye shida. Wakristo tu mwili wa Kristo, tumeunganishwa pamoja kwa Roho Mtakatifu, tunategemeana. Kwa hiyo hatuwezi kusema "shauri lake" juu ya shida ya Mkristo mwenzetu. Mkono wako ukipata kuumia hata viungo vingine vinaumia, tena mwili mzima. Mwili hauna raha na utajitahidi sana kuusaidia mkono. Leo Yesu anatupa mwongozo namna ya kusaidiana. Huenda mwongozo huu umeandikwa pia katika katiba ya kanisa lako.

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana