Tumaini la KrismasiMfano
Habari Njema za Krismasi
Soma 1 Timotheo 2:5.
Krismasi inahusu habari njema. Lakini siyo habari njema za zawadi maalum. Siyo habari njema za mlo mzuri. Pia siyo habari njema za kupata muda mzuri na marafiki pamoja na familia.
Krismasi inahusu habari njema za upendo wa Mungu.
Biblia inasema, bila Mungu wote tumepotea. Tumekosa muelekeo. Hatuna ulinzi. Uwezo wetu wa milele juu ya ulimwengu hautekelezwi. Hatuna furaha ya kweli. Hatuna hakikisho la umilele wetu wa mbinguni.
Habari njema za Krismasi ni kwamba Mungu alimtuma Yesu kutafuta na kukomboa kilichopotea. Biblia inasema, "Yuko Mungu mmoja, na Yesu Kristo pekee ndiye awezae kutupatanisha na Mungu.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Kwa watu wengi, Krismasi imekuwa orodha ndefu ya vitu vya kufanya ambavyo huwaacha wakiwa wamechoka na kutaka Desemba 26 ifike. Katika msururu huu wa jumbe, Mchungaji Rick anataka kukusaidia kukumbuka sababu ya kusherehekea Krismasi na kwa nini inafaa ibadilishe sio tu vile unasherehekea sikukuu hiyo lakini pia maisha yako kwa ujumla.
More
Hii ni Ibada ya 2014 ya Rick Warren. Haki zote zimehifadhiwa. Imetumiwa kwa ruhusa