Soma Biblia Kila Siku 03/2025Mfano

Daudi alipokea vifaa na wafanyakazi kwa ajili ya ujenzi wa ikulu yake toka kwa Hiramu, mfalme wa Tiro. Hivyo anaona kwamba Mungu anaridhia ufalme wake. Orodha ya watoto wake pia ni alama ya baraka za Mungu. Ushindi katika mashambulio mawili dhidi ya Wafilisti huonesha jinsi Daudi alivyoendelea kuwa karibu na Mungu. Tutafute daima mapenzi ya Mungu. Kila jambo jipya linahitaji mbinu na maelekezo mapya kutoka kwa Mungu. Tafakari kuwa Mungu alifanya hayo yotekwa ajili ya watu wake Israeli(m.2).
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Marko, 1 Nyakati na Isaya. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.somabiblia.or.tz