Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

SIKU 6 YA 30

Kuhani Mkuu na waandishi walijua kutoka kwenye Torati na Manabii kuwa Mungu atamtuma Masihi au Kristo wake kwa ajili ya wokovu wao. Tena waliagizwa na Musa wamsikie mtu huyo. Ajabu, viongozi hao walimkataa Yesu. Walimsingizia uongo. Na hata walipopata uthibitisho kwamba Yesu ndiye Kristo, hawakuwa tayari kukubali. Walimdhalilisha ili aonekane kuwa mtu asiyefaa. Lakini, kwa nini Mwokozi alipatwa na hayo yote? Yalikuwa lazima ili kuwapatia wokovu wote wamwaminio. Umkubali Yesu na kumwamini.

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz

Mipangilio yanayo husiana