Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

SIKU 4 YA 30

Petro, Yohana na Yakobo walipata kuwa karibu na Bwana wao alipokuwa anashindana na nguvu za kifo katika maombi. Aliwahimiza mara mbili waombe, lakini walilala. Katika jambo hili, Yesu alisisitiza umuhimu wa kukesha ili kutoingia majaribuni. Twahitaji kuongozwa na somo hili, kwani tumesongwa kila upande na mambo tusiyoyamudu sisi wenyewe. Kubwa kuliko yote niIbilisi angurumaye akitafuta mtu ammeze. Hatuwezi kumshinda adui yetu, wala hatuna nguvu ya kustahimili majaribu yake bila kuwa waombaji.

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz

Mipangilio yanayo husiana