Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

SIKU 28 YA 31

Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda(m.18). Hapa kuna faraja na kutiwa moyo kwa kila Mkristo anayepiga vita ya Bwana. Maana kanisa ni la nani? Ni la Petro? Ni la askofu? Ni la mchungaji? La! Kanisa ni la Yesu. Anasemakanisalangu(m.18). Na ni nani anayelijenga kanisa? Ni Yesu. Anasemanitalijenga(m.18). Kwa hiyo sisi ni wafanya kazipamoja na Yesu(1 Kor 3:9). Anayejenga ni yeye, sisi ni vyombo vyake tu. Ndivyo Kanisa linavyokua!

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz