Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

SIKU 26 YA 31

Huduma ya Yesu kuwaponya wagonjwa na kuwashibisha wenye njaa inaonyesha kwamba anampenda mwanadamu kama alivyo. Anampenda mtu mzima, mwili na roho. Wokovu wake si kwa ajili ya roho tu bali kwa ajili ya mwili pia. Kwa hiyo twakiri katika ukiri waImani ya Mitumekwamba "tunaamini ufufuo wa mwili"! Maana mwanadamu bila mwili si mwanadamu mkamilifu. Ufalme wa Mungu utakapokuja katika utukufu, tutaishi humo tukiwa tumepata miili mipya isiyo na dhambi, miili ya utukufu. Maumivu na kifo havipo tena.

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2024

Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz