Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 06/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 06/2024

SIKU 29 YA 30

Kutokuwa na imani huzuia mtu kuhusika na kushiriki wakati BWANA anapotuma msaada wake. Baada ya mfalme kujiridhisha kuwa Washami wamekimbia na kuacha chakula na utajiri mwingi, milango ya mji ilifunguliwa, na watu waliokuwa na njaa walikwenda kwa kasi kuteka nyara ya Washami. Ndipo mlinzi wa mfalme aliyedharau na kutoamini maneno ya Elisha alikanywagwa kanyagwa na kufariki. Aliona ukombozi wa Mungu, lakini hakushiriki baraka zake. Tusiwe wa kukataa na kudharau Neno la Mungu.

siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 06/2024

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz