Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

SIKU 16 YA 32

Masimulizi yahusuyo Kornelio ni marefu kuliko mengine yoyote katika Matendo ya Mitume. Ni kwa sababu matukio haya ni muhimu sana. Yalisababisha mlango ufunguliwe rasmi kwa kazi ya misioni, yaani watu wasio Wayahudi kupokea Ukristo bila kudaiwa kugeuka kuwa Wayahudi (k.m. kutahiriwa). Yesu aliwaagiza waendehata mwisho wa nchi(Mdo 1:8), lakini mitume walikuwa wanasitasita. Ndipo Bwana mwenyewe akalithibitisha neno lake kwa kujifunua kwa Kornelio (rudia m.3-6) - na kwa mtume Petro (m.9-11)! Katika somo linalofuata tutaangalia zaidi jinsi Petro alivyohitaji Mungu amfunulie kipekee jambo hili.

siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Desemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Desemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Matendo ya Mitume. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/